clubmasai

clubmasai
HUDUMA KILA SIKU .JUMATATU.JUMANNE.JUMATANO.ALHAMISI.IJUMAA.JUMAMOSI NA JUMAPILI.

Wednesday, May 25, 2011

pro24 kama kawa leo ndani ya masai


ni jumatano nyingine pro 24 djs wanakukalibisha club masai kinondoni upate burudani ya ukweli.hihop n r nb,ragga n dance hall,naija bila kusahau kwaito na east african flava,house n techno.Ni kila jumatano

Monday, September 6, 2010

Sunday, September 5, 2010

KAMA KAWAIDA IDI MOS MJENGONI TENA

KAMA KAWA MTU MZIMA NTAKUWEPO KWENYE MOJA NA MBILI KARIBU UPATE RADHA MPYAA

Wednesday, July 14, 2010

Monday, April 26, 2010

MR NICE NA SHOW YA UKWELI KESHO

USIKOSE SHOW YA UKWELI ITAKAYO DONDOSHWA KWENU NA MR NICE NDANI YA CLUB MASAI KINO.AKIWA NA KIKOSI KIPYA KABISA AMEPANIA KUKUONYESHA MAAJABU

Thursday, April 22, 2010

TOP BAND 100% NDANI YA CLUB MASAI KINONDONI LEO

WALE WAKALI WASTAGE BONGO[TOPBAND ] KAMA KAWA LEO WATASHUSHA BURUDANI YENYE VIWANGO VYA JUU PALE CLUBMASAI KINONDONI.ZITAPIGWA NGOMA KALI LIVE,PIA UTAPATA COMBINATION ZA KIMATAIFA KUTOKA PRO24DEEJAYZ.USIKOSEE MTU WANGU;...

Wednesday, April 21, 2010

LEO NDIO LEO CLUB MASAI KINONDONI

WANJANJA WOTE WA MJINI SIKU LEO WATAPATI KWA KWENDA MBELE NDANI YA KIWANJA KIKALI NDANI YA KINO NI CLUB MASAI KINONDONI.NI LADIES NIGHT YA TOFAUTI KABISA NJOO UKUTANE NA TOTOZZ BOMBA.UKU PRO24DEEYJAYZ WAKIDONDOSHA NGOMA ZA KIJANJA.