ni jumatano nyingine pro 24 djs wanakukalibisha club masai kinondoni upate burudani ya ukweli.hihop n r nb,ragga n dance hall,naija bila kusahau kwaito na east african flava,house n techno.Ni kila jumatano
WALE WAKALI WASTAGE BONGO[TOPBAND ] KAMA KAWA LEO WATASHUSHA BURUDANI YENYE VIWANGO VYA JUU PALE CLUBMASAI KINONDONI.ZITAPIGWA NGOMA KALI LIVE,PIA UTAPATA COMBINATION ZA KIMATAIFA KUTOKA PRO24DEEJAYZ.USIKOSEE MTU WANGU;...
WANJANJA WOTE WA MJINI SIKU LEO WATAPATI KWA KWENDA MBELE NDANI YA KIWANJA KIKALI NDANI YA KINO NI CLUB MASAI KINONDONI.NI LADIES NIGHT YA TOFAUTI KABISA NJOO UKUTANE NA TOTOZZ BOMBA.UKU PRO24DEEYJAYZ WAKIDONDOSHA NGOMA ZA KIJANJA.