clubmasai
HUDUMA KILA SIKU .JUMATATU.JUMANNE.JUMATANO.ALHAMISI.IJUMAA.JUMAMOSI NA JUMAPILI.
Monday, September 6, 2010
Sunday, September 5, 2010
KAMA KAWAIDA IDI MOS MJENGONI TENA
KAMA KAWA MTU MZIMA NTAKUWEPO KWENYE MOJA NA MBILI KARIBU UPATE RADHA MPYAA
Wednesday, July 14, 2010
Monday, April 26, 2010
MR NICE NA SHOW YA UKWELI KESHO
USIKOSE SHOW YA UKWELI ITAKAYO DONDOSHWA KWENU NA MR NICE NDANI YA CLUB MASAI KINO.AKIWA NA KIKOSI KIPYA KABISA AMEPANIA KUKUONYESHA MAAJABU
Thursday, April 22, 2010
TOP BAND 100% NDANI YA CLUB MASAI KINONDONI LEO
Wednesday, April 21, 2010
LEO NDIO LEO CLUB MASAI KINONDONI
CHIDI BENZ KUENDELEZA MAKAMUZI MASAI ANEX KURASINI
Tuesday, April 20, 2010
ITZ LADIEZ NIGHT@CLUBMASAI
DJ ANOLD KAMA KAWA JMOS MJENGONI
PRO 24
KILA SIKU YA JUMANNE BUSHBAND NA MR NICE NDANI YA MASAI.JUMATANO NI LADIES NIGHT.TOP BAND WANASABISHA ALHAMISI.FREAKFRIDAY KAMA KAWA IJUMAA DISCO LA UKWELI KUTOKA PRO 24DEEJAYZ ZAWADI MBALIMBALI KWA WAREMBO WATAKAOTOKA BOMBA. HOT SATERDAY NI MCHAKAMCHAKA KWA KWENDA MBELE[HIPHOP/R N B/HOUSE/POP/BONGO FLAVA/NIGERIA/RAGA NA DANCEHALLZA UKWELI ZITADONDOSHWA MJENGONI] NA J,PILI NI PRO 24 NIGHT BILA KUSAHAU J.TATU GET TOGETHER NIGHT.
RATIBA YA KILA MASAI
RATIBA YA CLUB MASAI
HUDUMA ZIPO KUANZIA SIKU YA JUMATATU . JUMANNE .JUMATANO .ALHAMISI. IJUMAA . JUMAMOSI NA JUMAPILI. PIA KUNA VINYWAJI NA CHAKULA KWA SAA 24.
HUDUMA ZIPO KUANZIA SIKU YA JUMATATU . JUMANNE .JUMATANO .ALHAMISI. IJUMAA . JUMAMOSI NA JUMAPILI. PIA KUNA VINYWAJI NA CHAKULA KWA SAA 24.
HAPA NI KAUNTA KUU JAMANI!!!!
Anaitwa Mrema Selasini na unapoingia tu ndani ya Club Masai unaanza kuiona kaunta yake ambayo ipo upande wa kulia.Ni mfanyakazi hodari mwenye uzoefu na anazingatia maadali ya kazi yake , hapa kaunta tuna vinywaji vya kila aina kama ambavyo picha inaonyesha.Karibuni mpate huduma kutoka kwake ama watoto wa mjini huwa wasema "kula bata".
Monday, April 19, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)