clubmasai

clubmasai
HUDUMA KILA SIKU .JUMATATU.JUMANNE.JUMATANO.ALHAMISI.IJUMAA.JUMAMOSI NA JUMAPILI.

Tuesday, April 20, 2010


Anaitwa Mrema Selasini na unapoingia tu ndani ya Club Masai unaanza kuiona kaunta yake ambayo ipo upande wa kulia.Ni mfanyakazi hodari mwenye uzoefu na anazingatia maadali ya kazi yake , hapa kaunta tuna vinywaji vya kila aina kama ambavyo picha inaonyesha.Karibuni mpate huduma kutoka kwake ama watoto wa mjini huwa wasema "kula bata".

No comments:

Post a Comment