clubmasai

clubmasai
HUDUMA KILA SIKU .JUMATATU.JUMANNE.JUMATANO.ALHAMISI.IJUMAA.JUMAMOSI NA JUMAPILI.

Tuesday, April 20, 2010

HUYU NI MENEJA NDANI YA KAUNTA KUU

Mzee Kasian Mponda ni Meneja Mkuu wa Club Masai . Licha ya kuwa ni mchapazi hodari pia ni mtu mcheshi sana kwa watu . Hapa yupo Kaunta Kuu akipata huduma kutoka kwa Tesha na ilikuwa alifajiri siku ya JUmapili wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment