clubmasai

clubmasai
HUDUMA KILA SIKU .JUMATATU.JUMANNE.JUMATANO.ALHAMISI.IJUMAA.JUMAMOSI NA JUMAPILI.

Monday, April 19, 2010

Hapa ndio Club Masai . Tupo maeneo ya Kinondoni tunatazamana na Akiba Bank barabara ya Mwinjuma .Lakini hapa ni Club Masai KINONDONI. Aidha, tunayo Club Masai Annex iliyopo maeneo ya Kurasini TMK jijini Dareslam .Hivyo , Blogu hii mpya ni mali ya Club hizi mbili na kuanzia sasa tutakuwa tuna wapa taarifa na matukio mbalimbali kuhusu huduma na burudani tunazotoa.KARIBUNI SANA.

No comments:

Post a Comment