clubmasai

clubmasai
HUDUMA KILA SIKU .JUMATATU.JUMANNE.JUMATANO.ALHAMISI.IJUMAA.JUMAMOSI NA JUMAPILI.

Tuesday, April 20, 2010

HUYU NI DJ TIX AKIPIGA MZIGO

Hebwana eeh! Kijana huyui ni matata sana katika moja na mbili ! Siku ukija ndani ya kiwanja hiki ni lazima ukubali ninachokuandikia hapa. Anaweza kuchezesha kuanzia Funk , Bongo Flava , Hip-Hop , R& B na kila aina ya muziki . Acha kubana hebu siku moja njoo umuoneeee!!!!!

No comments:

Post a Comment