clubmasai

clubmasai
HUDUMA KILA SIKU .JUMATATU.JUMANNE.JUMATANO.ALHAMISI.IJUMAA.JUMAMOSI NA JUMAPILI.

Tuesday, April 20, 2010

NI FULL ULINZI!!!

Kuhusu kwamba eti labda tupo tupo tu kizembe siyo kweli! Siuna ona mwenyewe jamani! Hawa ni jamaa zetu wanaohusika na masuala ya usalaam hapa Club Masai . Kutoka kushoto ni Mohamed akiwa na Kipala hii ni Jumapili usiku wakiwa mbioni kuanza kazi.

No comments:

Post a Comment