clubmasai

clubmasai
HUDUMA KILA SIKU .JUMATATU.JUMANNE.JUMATANO.ALHAMISI.IJUMAA.JUMAMOSI NA JUMAPILI.

Tuesday, April 20, 2010

HAPA NI KAUNTA KUU JAMANI!!!!

Jamaa anaitwa Eromini Tesha . Anafanya kazi yake ndani ya kaunta Kuu ya Club Masai . Kimsingi ni mchapakazi sana na kwa vyovyote vile sababu hii imesababisha awe kaunta Kuu!! Ni mara chache sana kusikia eti anazozana na wateja! Kaunta yake ina kila aina ya vinywaji na ni pana sana . Hapa huwa wanapenda kupata huduma wateja ambao wanataka pia kuwa karibu na steji yaani ili waone kinachoendelea pale katikati.

No comments:

Post a Comment